1 Chronicles 23:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
4,000 wawe mabawabu, na 4,000 wawe waimbaji, wakimsifu Mwenyezi-Mungu kwa ala za muziki alizotengeneza mfalme mwenyewe kwa madhumuni hayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na elfu nne watakuwa mabawabu, na wengine elfu nne watamsifu Mwenyezi Mungu kwa ala za uimbaji nilizotoa kwa ajili ya kusudi hilo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na elfu nne walikuwa mabawabu; na elfu nne walimsifu Bwana kwa vinanda, nilivyovifanya, alisema Daudi, vya kumsifia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
4,000 wawe mabawabu, na 4,000 wawe waimbaji, wakimsifu Mwenyezi-Mungu kwa ala za muziki alizotengeneza mfalme mwenyewe kwa madhumuni hayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na 4,000 watakuwa mabawabu, na wengine 4,000 watamsifu BWANA kwa ala za uimbaji nilizotoa kwa ajili ya kusudi hilo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na 4,000 watakuwa mabawabu, na wengine 4,000 watamsifu bwana kwa ala za uimbaji nilizotoa kwa ajili ya kusudi hilo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na elfu nne walikuwa mabawabu; na elfu nne walimsifu BWANA kwa vinanda, nilivyovifanya, alisema Daudi, vya kumsifia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
4,000 wawe mabawabu, na 4,000 wawe waimbaji, wakimsifu Mwenyezi-Mungu kwa ala za muziki alizotengeneza mfalme mwenyewe kwa madhumuni hayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
watu 4000 kuwa walinda malango, tena watu 4000 kumtukuza Bwana kwa vyombo, Dawidi alivyovitengeneza vya kumtukuza Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na elfu nne walikuwa mabawabu; na elfu nne walimsifu BWANA kwa vinanda, nilivyovifanya, alisema Daudi, vya kumsifia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
elfu ine wakuwe walinzi wa milango, na elfu ine wakuwe waimbaji, wakimusifu Yawe kwa ala za muziki mufalme alizotengeneza mwenyewe kwa ajili ya kazi hiyo.