1 Chronicles 23:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi aliwagawanya Walawi katika makundi matatu kulingana na koo za kabila la Lawi: Ukoo wa Gershoni, ukoo wa Kohathi na ukoo wa Merari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akawagawa Walawi katika makundi kufuatana na wana wa Lawi: Gershoni, Kohathi na Merari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi akawagawanya kuwa zamu zao sawasawa na wana wa Lawi; Gershoni, Kohathi, na Merari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi aliwagawanya Walawi katika makundi matatu kulingana na koo za kabila la Lawi: ukoo wa Gershoni, ukoo wa Kohathi na ukoo wa Merari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akawagawa Walawi katika makundi kufuatana na wana wa Lawi: Gershoni, Kohathi na Merari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akawagawa Walawi katika makundi kufuatana na wana wa Lawi: Gershoni, Kohathi na Merari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Daudi akawagawanya kwa zamu zao sawasawa na wana wa Lawi; Gershoni, Kohathi, na Merari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi aliwagawanya Walawi katika makundi matatu kulingana na koo za kabila la Lawi: Ukoo wa Gershoni, ukoo wa Kohathi na ukoo wa Merari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Dawidi akawagawanya kuwa mafungu yao wana wa Lawi, ndio Gersoni, Kehati na Merari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi akawagawanya kuwa zamu zao sawasawa na wana wa Lawi; Gershoni, Kohathi, na Merari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi akawagawanya Walawi katika makundi matatu kulingana na ukoo za kabila la Lawi: ukoo wa Gersoni, ukoo wa Kohati na ukoo wa Merari.