1 Chronicles 23:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Shimei walikuwa watatu: Shelomithi, Hazieli na Harani. Hawa walikuwa viongozi wa ukoo wa Ladani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Shimei walikuwa watatu: Shelomothi, Hazieli na Harani. Hawa watatu walikuwa viongozi wa jamaa za Ladani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Shimei; Shelomothi, na Hazieli, na Harani, watatu. Hao walikuwa vichwa vya mbari za baba za Ladani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Shimei walikuwa watatu: Shelomithi, Hazieli na Harani. Hawa walikuwa viongozi wa ukoo wa Ladani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Shimei walikuwa watatu: Shelomothi, Hazieli na Harani. Hawa watatu walikuwa viongozi wa jamaa za Ladani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Shimei walikuwa watatu: Shelomothi, Hazieli na Harani. Hawa watatu walikuwa viongozi wa jamaa za Ladani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Shimei; Shelomothi, na Hazieli, na Harani, watatu. Hao walikuwa vichwa vya koo za baba za Ladani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Shimei walikuwa watatu: Shelomithi, Hazieli na Harani. Hawa walikuwa viongozi wa ukoo wa Ladani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa simei walikuwa watatu: Selomiti na Hazieli na Harani. Hawa ndio wakubwa wa mlango wa Ladani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Shimei; Shelomothi, na Hazieli, na Harani, watatu. Hao walikuwa vichwa vya mbari za baba za Ladani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Simei walikuwa watatu: Selomoti, Hazieli na Harani. Hawa walikuwa viongozi wa ukoo wa Ladani.