1 Chronicles 24:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hayo ndiyo makundi ya wazawa wa Aroni. Aroni alikuwa na wana wanne: Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hii ndiyo migawanyo ya wazao wa Haruni: Haruni alikuwa na wana wanne: Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na zamu za wana wa Haruni ni hizi. Wana wa Haruni; Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hayo ndiyo makundi ya wazawa wa Aroni. Aroni alikuwa na wana wanne: Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii ndiyo migawanyo ya wana wa Aroni: Aroni alikuwa na wana wanne: Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii ndiyo migawanyo ya wana wa Haruni: Haruni alikuwa na wana wanne: Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na zamu za wana wa Haruni ni hizi. Wana wa Haruni; Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hayo ndiyo makundi ya wazawa wa Aroni. Aroni alikuwa na wana wanne: Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mafungu yao wana wa Haroni ni haya: wana wa Haroni walikuwa Nadabu na Abihu, Elazari na Itamari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na zamu za wana wa Haruni ni hizi. Wana wa Haruni; Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hayo ndiyo makundi ya wana wa Haruni. Haruni alikuwa na wana wane: Nadabu, Abihu, Eleazari na Itamari.