1 Chronicles 24:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nadabu na Abihu walikufa kabla ya baba yao, wala hawakuwa na watoto; kwa hiyo ndugu zao Eleazari na Ithamari wakawa makuhani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nadabu na Abihu walikufa kabla ya baba yao, nao hawakuwa na wana; kwa hiyo ndugu zao Eleazari na Ithamari wakahudumu kama makuhani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hao Nadabu na Abihu walikufa kabla ya baba yao, wala hawakuwa na watoto; kwa hiyo Eleazari na Ithamari wakafanya ukuhani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nadabu na Abihu walikufa kabla ya baba yao, wala hawakuwa na watoto; kwa hiyo ndugu zao Eleazari na Ithamari wakawa makuhani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nadabu na Abihu walikufa kabla ya baba yao, nao hawakuwa na wana, kwa hiyo ndugu zao Eleazari na Ithamari wakahudumu kama makuhani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nadabu na Abihu walikufa kabla ya baba yao, nao hawakuwa na wana; kwa hiyo ndugu zao Eleazari na Ithamari wakahudumu kama makuhani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hao Nadabu na Abihu walikufa kabla ya baba yao, wala hawakuwa na watoto; kwa hiyo Eleazari na Ithamari wakafanya ukuhani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nadabu na Abihu walikufa kabla ya baba yao, wala hawakuwa na watoto; kwa hiyo ndugu zao Eleazari na Ithamari wakawa makuhani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nadabu na Abihu wakafa, baba yao akingalo yupo, nao hawakuwa na wana; kwa hiyo Elazari na Itamari wakaupata utambikaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hao Nadabu na Abihu walikufa kabla ya baba yao, wala hawakuwa na watoto; kwa hiyo Eleazari na Ithamari wakafanya ukuhani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nadabu na Abihu walikufa mbele ya baba yao, wala hawakukuwa na watoto; kwa hiyo wandugu zao Eleazari na Itamari wakakuwa makuhani.