1 Chronicles 24:20 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hawa ndio wazawa wengine wa Lawi: Mmoja wa wazawa wa Amramu alikuwa Shubaeli; wa Shubaeli alikuwa Yedeya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhusu wazao wa Lawi waliobaki: Kutoka kwa wana wa Amramu: alikuwa Shubaeli; kutoka kwa wana wa Shubaeli: alikuwa Yedeya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wa wana wa Lawi, waliosalia; wa wana wa Amramu, Shebueli; wa wana wa Shebueli, Yedeya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hawa ndio wazawa wengine wa Lawi: Mmoja wa wazawa wa Amramu alikuwa Shubaeli; wa Shubaeli alikuwa Yedeya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhusu wazao waliobaki wa Lawi: Kutoka kwa wana wa Amramu: alikuwa Shubaeli; kutoka kwa wana wa Shubaeli: alikuwa Yedeia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhusu wazao wa Lawi waliobaki: Kutoka kwa wana wa Amramu: alikuwa Shubaeli; kutoka kwa wana wa Shubaeli: alikuwa Yedeya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wa wana wa Lawi, waliosalia; wa wana wa Amramu, Shebueli; wa wana wa Shebueli, Yedeya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hawa ndio wazawa wengine wa Lawi: Mmoja wa wazawa wa Amramu alikuwa Shubaeli; wa Shubaeli alikuwa Yedeya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wale wana wengine wa Lawi ni hawa: Kwa wana wa Amuramu: Subaeli, kwa wana wa Subaeli: Yehedia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)