1 Chronicles 24:21 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mmoja wa wazawa wa Rehabia alikuwa Ishio kiongozi wa ukoo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhusu Rehabia, kutoka kwa wanawe: Ishia alikuwa wa kwanza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wa Rehabia; wa wana wa Rehabia, Ishia mkuu wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mmoja wa wazawa wa Rehabia alikuwa Ishio kiongozi wa ukoo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa wa Rehabia, kutoka kwa wanawe: Ishia alikuwa wa kwanza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa wa Rehabia, kutoka kwa wanawe: Ishia alikuwa wa kwanza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wa Rehabia; wa wana wa Rehabia, Ishia mkuu wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mmoja wa wazawa wa Rehabia alikuwa Ishio kiongozi wa ukoo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwake Rehabia: wana wa Rehabia mkuu wao alikuwa Isia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wa Rehabia; wa wana wa Rehabia, Ishia mkuu wao.