1 Chronicles 24:22 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mmoja wa wazawa wa Ishio alikuwa Shelomithi na wa wazawa wa Shelomithi alikuwa Yahathi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka kwa Waishari: alikuwa Shelomothi, kutoka kwa wana wa Shelomothi: alikuwa Yahathi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wa Waishari, Shelomothi; wa wana wa Shelomothi, Yahathi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mmoja wa wazawa wa Ishio alikuwa Shelomithi na wa wazawa wa Shelomithi alikuwa Yahathi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka kwa Waishari: alikuwa Shelomithi, kutoka kwa wana wa Shelomithi: alikuwa Yahathi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka kwa Waishari: alikuwa Shelomithi, kutoka kwa wana wa Shelomithi: alikuwa Yahathi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wa Waishari, Shelomothi; wa wana wa Shelomothi, Yahathi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mmoja wa wazawa wa Ishio alikuwa Shelomithi na wa wazawa wa Shelomithi alikuwa Yahathi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwao wa Isihari: Selomoti, kwa wana wa Selomoti: Yahati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wa Waishari, Shelomothi; wa wana wa Shelomothi, Yahathi.