1 Chronicles 24:30 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mushi alikuwa na wana watatu: Mahli, Ederi na Yeremothi. Wao ni wazawa wa Lawi kulingana na koo zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao wana wa Mushi: walikuwa Mahli, Ederi na Yeremothi. Hawa walikuwa Walawi kulingana na jamaa zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Mushi; Mali, na Ederi, na Yeremothi. Hao ndio wana wa Walawi, kwa kufuata mbari za baba zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mushi alikuwa na wana watatu: Mahli, Ederi na Yeremothi. Wao ni wazawa wa Lawi kulingana na koo zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao wana wa Mushi: walikuwa Mahli, Ederi na Yerimothi. Hawa walikuwa Walawi kulingana na jamaa zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao wana wa Mushi: walikuwa Mahli, Ederi na Yeremothi. Hawa walikuwa Walawi kulingana na jamaa zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Mushi; Mali, na Ederi, na Yeremothi. Hao ndio wana wa Walawi, kwa kufuata koo za baba zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mushi alikuwa na wana watatu: Mahli, Ederi na Yeremothi. Wao ni wazawa wa Lawi kulingana na koo zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Musi walikuwa Mahali na Ederi na Yerimoti. Hawa ndio wana wa Lawi kwa milango yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Mushi; Mali, na Ederi, na Yeremothi. Hao ndio wana wa Walawi, kwa kufuata mbari za baba zao.