1 Chronicles 24:31 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia hao wote walipiga kura kufuatana na ukoo wa kila mkuu na mdogo wake, kama wazawa wa Aroni walivyofanya. Walipiga kura mbele ya mfalme Daudi, Sadoki, Ahimeleki na viongozi wa jamaa za makuhani na za Walawi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia walipiga kura kama vile ndugu zao wazao wa Haruni walivyofanya, mbele ya Mfalme Daudi, Sadoki, Ahimeleki na mbele ya viongozi wa jamaa ya makuhani na ya Walawi. Jamaa za ndugu wakubwa zilitendewa sawasawa na zile za ndugu wadogo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao nao wakatupiwa kura vile vile, kama ndugu zao wana wa Haruni, machoni pa Daudi mfalme, na Sadoki, na Ahimeleki, na wakuu wa mbari za baba za makuhani na za Walawi; mbari za baba za mkuu, vile vile kama za nduguye mdogo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia hao wote walipiga kura kufuatana na ukoo wa kila mkuu na mdogo wake, kama wazawa wa Aroni walivyofanya. Walipiga kura mbele ya mfalme Daudi, Sadoki, Ahimeleki na viongozi wa jamaa za makuhani na za Walawi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia walipiga kura kama vile ndugu zao wazao wa Aroni walivyofanya, mbele ya Mfalme Daudi, Sadoki, Ahimeleki na mbele ya viongozi wa jamaa ya makuhani na ya Walawi. Jamaa za ndugu wakubwa zilitendewa sawasawa na zile za ndugu wadogo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia walipiga kura kama vile ndugu zao wazao wa Haruni walivyofanya, mbele ya Mfalme Daudi, Sadoki, Ahimeleki na mbele ya viongozi wa jamaa ya makuhani na ya Walawi. Jamaa za ndugu wakubwa zilitendewa sawasawa na zile za ndugu wadogo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao nao wakapigiwa kura vile vile, kama ndugu zao wana wa Haruni, machoni pa Daudi mfalme, na Sadoki, na Ahimeleki, na wakuu wa koo za baba za makuhani na za Walawi; koo za baba za mkuu, vile vile kama za nduguye mdogo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia hao wote walipiga kura kufuatana na ukoo wa kila mkuu na mdogo wake, kama wazawa wa Aroni walivyofanya. Walipiga kura mbele ya mfalme Daudi, Sadoki, Ahimeleki na viongozi wa jamaa za makuhani na za Walawi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao nao waliwapigia kura sawasawa kama ndugu zao wana wa Haroni, mfalme Dawidi na Sadoki na Ahimeleki na wakuu wa milango ya watambikaji na Walawi wakitazama; aliyekuwa mkuu wa mlango alipigiwa kura sawasawa kama ndugu yake mdogo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)