1 Chronicles 25:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wanne wa Asafu: Zakuri, Yosefu, Nethania na Asharela. Wao walikuwa chini ya uongozi wa Asafu aliyetabiri wakati wote chini ya uongozi wa mfalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka kwa wana wa Asafu walikuwa: Zakuri, Yusufu, Nethania na Asarela. Wana wa Asafu walikuwa chini ya usimamizi wa Asafu, ambaye alitoa unabii chini ya usimamizi wa mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wa wana wa Asafu; Zakuri, na Yusufu, na Nethania, na Asharela, wana wa Asafu; walioamriwa na Asafu, aliyetabiri kwa amri ya mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wanne wa Asafu: Zakuri, Yosefu, Nethania na Asharela. Wao walikuwa chini ya uongozi wa Asafu aliyetabiri wakati wote chini ya uongozi wa mfalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka kwa wana wa Asafu walikuwa: Zakuri, Yosefu, Nethania na Asarela. Wana wa Asafu walikuwa chini ya usimamizi wa Asafu, ambaye alitoa unabii chini ya usimamizi wa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka kwa wana wa Asafu walikuwa: Zakuri, Yusufu, Nethania na Asarela. Wana wa Asafu walikuwa chini ya usimamizi wa Asafu, ambaye alitoa unabii chini ya usimamizi wa mfalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wa wana wa Asafu; Zakuri, na Yusufu, na Nethania, na Asharela, wana wa Asafu; walioamriwa na Asafu, aliyetabiri kwa amri ya mfalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wanne wa Asafu: Zakuri, Yosefu, Nethania na Asharela. Wao walikuwa chini ya uongozi wa Asafu aliyetabiri wakati wote chini ya uongozi wa mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa wana wa Asafu walikuwa Zakuri na Yosefu na Netania na Asarela; hawa wana wa Asafu waliongozwa na Asafu aliyelifumbua Neno kwa kuongozwa na mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wa wana wa Asafu; Zakuri, na Yusufu, na Nethania, na Asharela, wana wa Asafu; walioamriwa na Asafu, aliyetabiri kwa amri ya mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Asafu: Zakuri, Yosefu, Netania na Asarela. Hao walikuwa chini ya uongozi wa Asafu aliyetabiri wakati wote chini ya uongozi wa mufalme.