1 Chronicles 25:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu alimpa Hemani, mwonaji wa mfalme, hawa watoto wa kiume kumi na wanne, na wa kike watatu, kama alivyoahidi ili kumtukuza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote hawa walikuwa wana wa Hemani mwonaji wa mfalme. Aliwapata wana hawa kutokana na ahadi ya Mungu ili kumwinua. Mungu alimpa Hemani watoto kumi na wanne wa kiume na binti watatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hao wote ndio wana wa Hemani, mwonaji wa mfalme, kwa maneno ya Mungu, ili kuinua pembe. Naye Mungu akampa Hemani wana kumi na wanne na binti watatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu alimpa Hemani, mwonaji wa mfalme, hawa watoto wa kiume kumi na wanne, na wa kike watatu, kama alivyoahidi ili kumtukuza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote hawa walikuwa wana wa Hemani mwonaji wa mfalme. Aliwapata wana hawa kutokana na ahadi ya Mungu ili kumwinua. Mungu alimpa Hemani wana kumi na wanne na binti watatu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote hawa walikuwa wana wa Hemani mwonaji wa mfalme. Aliwapata wana hawa kutokana na ahadi ya Mungu ili kumwinua. Mungu alimpa Hemani wana kumi na wanne na binti watatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hao wote ndio wana wa Hemani, mwonaji wa mfalme, kwa maneno ya Mungu, ili kuinua pembe. Naye Mungu akampa Hemani wana kumi na wanne na mabinti watatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu alimpa Hemani, mwonaji wa mfalme, hawa watoto wa kiume kumi na wanne, na wa kike watatu, kama alivyoahidi ili kumtukuza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa wote walikuwa wana wa Hemani aliyekuwa mchunguzaji wa mfalme; kwa hivyo, Mungu alivyomwambia, ya kuwa ataitukuza pembe yake, Mungu alikuwa amempa wana kumi na wanne wa kiume na watatu wa kike.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hao wote ndio wana wa Hemani, mwonaji wa mfalme, kwa maneno ya Mungu, ili kuinua pembe. Naye Mungu akampa Hemani wana kumi na wanne na binti watatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu alimupatia Hemani aliyekuwa akitabiria mufalme, wana hawa kumi na wane, na wabinti watatu, kama vile alivyoahidi kwa kumutukuza.