1 Chronicles 25:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Idadi yao pamoja na wale ndugu zao Walawi waliofundishwa kumwimbia Mwenyezi-Mungu, wote waliokuwa stadi, ilikuwa 288.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pamoja na ndugu zao, wote walikuwa wamefundishwa na kuwa stadi wa uimbaji kwa Mwenyezi Mungu. Idadi yao walikuwa mia mbili na themanini na nane (288).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hesabu yao, pamoja na ndugu zao waliofundishwa kumwimbia Bwana, wote waliokuwa wastadi, walikuwa mia mbili na themanini na wanane.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Idadi yao pamoja na wale ndugu zao Walawi waliofundishwa kumwimbia Mwenyezi-Mungu, wote waliokuwa stadi, ilikuwa 288.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pamoja na ndugu zao wote walikuwa wamefundishwa na kuwa stadi wa uimbaji kwa BWANA. Idadi yao walikuwa 288.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pamoja na ndugu zao wote walikuwa wamefundishwa na kuwa stadi wa uimbaji kwa bwana. Idadi yao walikuwa 288.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hesabu yao, pamoja na ndugu zao waliofundishwa kumwimbia BWANA, wote waliokuwa mastadi, walikuwa mia mbili na themanini na wanane.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Idadi yao pamoja na wale ndugu zao Walawi waliofundishwa kumwimbia Mwenyezi-Mungu, wote waliokuwa stadi, ilikuwa 288.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipohesabiwa pamoja na ndugu zao waliofundishwa kumwimbia Bwana, wote walioijua kazi hii walikuwa 288.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hesabu yao, pamoja na ndugu zao waliofundishwa kumwimbia BWANA, wote waliokuwa wastadi, walikuwa mia mbili na themanini na wanane.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hesabu yao pamoja na wale wandugu zao Walawi waliofundishwa kumwimbia Yawe, wote waliokuwa wafundi, ilikuwa mia mbili na makumi nane na wanane.