1 Chronicles 25:9 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kura ya 1 ilimwangukia Yosefu wa jamaa ya Asafu; ya 2 Gedalia pamoja na ndugu zake na wanawe kumi na wawili;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kura ya kwanza, ambayo ilikuwa kwa ajili ya Asafu, ilimwangukia Yusufu, wanawe na jamaa zake, 12; Ya pili ikamwangukia Gedalia, yeye na wanawe pamoja na jamaa zake, 12;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kura ya kwanza ikamtokea Yusufu, kwa Asafu; ya pili Gedalia; yeye na nduguze na wanawe, kumi na wawili;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kura ya 1 ilimwangukia Yosefu wa jamaa ya Asafu; ya 2 Gedalia pamoja na ndugu zake na wanawe kumi na wawili;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kura ya kwanza, ambayo ilikuwa kwa ajili ya Asafu, ilimwangukia Yosefu,wanawe na jamaa zake, — 12 Ya pili ikamwangukia Gedalia,yeye na wanawe pamoja na jamaa zake, — 12
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kura ya kwanza, ambayo ilikuwa kwa ajili ya Asafu, ilimwangukia Yusufu, wanawe na jamaa zake, 12 Ya pili ikamwangukia Gedalia, yeye na wanawe pamoja na jamaa zake, 12
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kura ya kwanza ikamtokea Yusufu, kwa Asafu; ya pili Gedalia; yeye na nduguze na wanawe, kumi na wawili;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kura ya 1 ilimwangukia Yosefu wa jamaa ya Asafu; ya 2 Gedalia pamoja na ndugu zake na wanawe kumi na wawili;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo kura ya kwanza ya Asafu ikamwangukia Yosefu; ya 2 ikamwangukia Gedalia na ndugu zake na wana wake, pamoja watu 12.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kura ya kwanza ikamtokea Yusufu, kwa Asafu; ya pili Gedalia; yeye na nduguze na wanawe, kumi na wawili;