1 Chronicles 26:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haya ndiyo makundi ya Walawi waliofanya kazi za ubawabu. Kutoka katika ukoo wa Kora, alikuwa Meshelemia mwana wa Kore wa jamaa ya Asafu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hii ndiyo migawanyo ya mabawabu: Kutoka kwa wana wa Kora alikuwa: Meshelemia mwana wa Kore, mmoja wa wana wa Asafu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa zamu zao mabawabu; wa Wakora; Meshelemia mwana wa Kore, wa wana wa Ebiasafu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haya ndiyo makundi ya Walawi waliofanya kazi za ubawabu. Kutoka katika ukoo wa Kora, alikuwa Meshelemia mwana wa Kore wa jamaa ya Asafu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii ndiyo migawanyo ya mabawabu: Kutoka kwa Wakorahi alikuwa: Meshelemia mwana wa Kore, mmoja wa wana wa Asafu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii ndiyo migawanyo ya mabawabu: Kutoka kwa wana wa Kora alikuwa: Meshelemia mwana wa Kore, mmoja wa wana wa Asafu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa zamu zao mabawabu; wa Wakora; Meshelemia mwana wa Kore, wa wana wa Ebiasafu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haya ndiyo makundi ya Walawi waliofanya kazi za ubawabu. Kutoka katika ukoo wa Kora, alikuwa Meshelemia mwana wa Kore wa jamaa ya Asafu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mafungu ya walinda malango yalikuwa haya: kwao wa Kora alikuwa Meselemia, mwana wa kore, naye alikuwa mmoja wao wana wa Asafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa zamu zao mabawabu; wa Wakora; Meshelemia mwana wa Kore, wa wana wa Ebiasafu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haya ndiyo makundi ya Walawi waliofanya kazi za ulinzi. Kutoka katika ukoo wa Kora, kulikuwa Meselemia mwana wa Kora wa jamaa ya Asafu.