1 Chronicles 26:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hosa mmojawapo wa wana wa Merari alikuwa na wana wanne: Shimri (aliyefanywa kiongozi na baba yake hata ingawa hakuwa mzaliwa wa kwanza),
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hosa, Mmerari, alikuwa na wana wafuatao: Shimri alikuwa mkuu wao (baba yake alikuwa amemweka yeye kuwa mkuu, ijapokuwa hakuwa mzaliwa wa kwanza),
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hosa naye, wa wana wa Merari, alikuwa na wana; Shimri mkuu wao; (kwani ajapokuwa yeye si mzaliwa wa kwanza, babaye alimweka mkuu);
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hosa mmojawapo wa wana wa Merari alikuwa na wana wanne: Shimri (aliyefanywa kiongozi na baba yake hata ingawa hakuwa mzaliwa wa kwanza),
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hosa, Mmerari, alikuwa na wana wafuatao: Shimri alikuwa mkuu wao (baba yake alikuwa amemweka yeye kuwa mkuu ijapokuwa hakuwa mzaliwa wa kwanza),
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hosa, Mmerari, alikuwa na wana wafuatao: Shimri alikuwa mkuu wao (baba yake alikuwa amemweka yeye kuwa mkuu ijapokuwa hakuwa mzaliwa wa kwanza),
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hosa naye, wa wana wa Merari, alikuwa na wana; Shimri mkuu wao; (kwani ajapokuwa yeye si mzaliwa wa kwanza, babaye alimweka mkuu);
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hosa mmojawapo wa wana wa Merari alikuwa na wana wanne: Shimri (aliyefanywa kiongozi na baba yake hata ingawa hakuwa mzaliwa wa kwanza),
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Hosa aliyekuwa mmoja wao wana wa Merari alikuwa na wana, mkuu wao alikuwa Simuri, lakini siye wa kwanza, lakini baba yake alimweka kuwa mkuu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hosa naye, wa wana wa Merari, alikuwa na wana; Shimri mkuu wao; (kwani ajapokuwa yeye si mzaliwa wa kwanza, babaye alimweka mkuu);
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hosa mumoja kati ya wana wa Merari alikuwa na wana wane: Simuri (aliyefanywa kiongozi na baba yake hata ingawa hakukuwa muzaliwa wa kwanza),