1 Chronicles 26:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hilkia wa pili, Tebalia wa tatu na Zekaria wa nne. Wana wote wa Hosa pamoja na nduguze walikuwa kumi na watatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hilkia wa pili, Tabalia wa tatu na Zekaria wa nne. Wana na jamaa za Hosa jumla yao walikuwa watu kumi na watatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hilkia wa pili, Tebalia wa tatu, Zekaria wa nne; wana wote wa Hosa pamoja na nduguze walikuwa watu kumi na watatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hilkia wa pili, Tebalia wa tatu na Zekaria wa nne. Wana wote wa Hosa pamoja na nduguze walikuwa kumi na watatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hilkia wa pili, Tabalia wa tatu na Zekaria wa nne. Wana na jamaa za Hosa jumla yao walikuwa watu kumi na watatu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hilkia wa pili, Tabalia wa tatu na Zekaria wa nne. Wana na jamaa za Hosa jumla yao walikuwa watu kumi na watatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hilkia wa pili, Tebalia wa tatu, Zekaria wa nne; wana wote wa Hosa pamoja na nduguze walikuwa watu kumi na watatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hilkia wa pili, Tebalia wa tatu na Zekaria wa nne. Wana wote wa Hosa pamoja na nduguze walikuwa kumi na watatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wa pili alikuwa Hilkia, wa tatu Tebalia, wa nne Zakaria. Wana wote wa Hosa pamoja na ndugu zake walikwua 13.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hilkia wa pili, Tebalia wa tatu, Zekaria wa nne; wana wote wa Hosa pamoja na nduguze walikuwa watu kumi na watatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hilkia wa pili, Tebalia wa tatu na Zekaria wa ine. Wana wote wa Hosa pamoja na wandugu zao walikuwa kumi na watatu.