1 Chronicles 26:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila jamaa, bila kujali wingi, ilipiga kura kuchagua lango watakalosimamia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kura zilipigwa kwa kila lango, kufuatana na jamaa zao, wakubwa kwa wadogo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakatupiwa kura kwa ajili ya kila lango, wadogo sawasawa na wakubwa, kwa kadiri ya mbari za baba zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila jamaa, bila kujali wingi, ilipiga kura kuchagua lango watakalosimamia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kura zilipigwa kwa kila lango, kufuatana na jamaa zao, wakubwa kwa wadogo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kura zilipigwa kwa kila lango, kufuatana na jamaa zao, wakubwa kwa wadogo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakapigiwa kura kwa ajili ya kila lango, wadogo na wakubwa kwa pamoja, kwa kufuata koo za baba zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila jamaa, bila kujali wingi, ilipiga kura kuchagua lango watakalosimamia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoipigia kura za lango kwa lango, waliwapigia wadogo sawasawa kama wakubwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakatupiwa kura kwa ajili ya kila lango, wadogo sawasawa na wakubwa, kwa kadiri ya mbari za baba zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila jamaa, bila kujali wingi ilipiga kura kwa kuchagua mulango watakaosimamia.