1 Chronicles 26:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Obed-edomu aliangukiwa na kura ya lango la kusini, na ya wanawe, ghala.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kura ya Lango la Kusini ikamwangukia Obed-Edomu, nayo kura ya maghala ikawaangukia wanawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ya Obed-edomu ya kusini; na ya wanawe nyumba ya akiba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Obed-edomu aliangukiwa na kura ya lango la kusini, na ya wanawe, ghala.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kura ya Lango la Kusini ikamwungukia Obed-Edomu, nayo kura ya maghala ikawaangukia wanawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kura ya Lango la Kusini ikamwangukia Obed-Edomu, nayo kura ya maghala ikawaangukia wanawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ya Obed-edomu ya kusini; na ya wanawe nyumba ya akiba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Obed-edomu aliangukiwa na kura ya lango la kusini, na ya wanawe, ghala.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ya Obedi-Edomu ikaangukia kusini, nayo ya wanawe ikaiangukia nyumba ya vilimbiko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ya Obed-edomu ya kusini; na ya wanawe nyumba ya akiba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Obedi-Edomu akaangukiwa na kura ya mulango wa upande wa kusini. Wana wake wakaangukiwa na kura ya gala.