1 Chronicles 26:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shupimu na Hosa waliangukiwa na kura ya kulinda lango la magharibi kwenye lango la Shalekethi kwenye barabara ya juu. Ulinzi ulifanywa kwa zamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kura za Lango la Magharibi na Lango la Shalekethi kwenye barabara ya juu zikawaangukia Shupimu na Hosa. Zamu za walinzi ziligawanywa kwa usawa:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ya Shupimu na Hosa upande wa magharibi, langoni pa Shalekethi, hapo penye daraja ya kupandia, ulinzi kwa ulinzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shupimu na Hosa waliangukiwa na kura ya kulinda lango la magharibi kwenye lango la Shalekethi kwenye barabara ya juu. Ulinzi ulifanywa kwa zamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kura za Lango la Magharibi na Lango la Shalekethi kwenye barabara ya juu zikawaangukia Shupimu na Hosa. Zamu za walinzi ziligawanywa kwa usawa:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kura za Lango la Magharibi na Lango la Shalekethi kwenye barabara ya juu zikawaangukia Shupimu na Hosa. Zamu za walinzi ziligawanywa kwa usawa:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ya Shupimu na Hosa upande wa magharibi, langoni pa Shalekethi, hapo penye daraja ya kupandia, ulinzi ulifanywa kwa zamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shupimu na Hosa waliangukiwa na kura ya kulinda lango la magharibi kwenye lango la Shalekethi kwenye barabara ya juu. Ulinzi ulifanywa kwa zamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ya Supimu na ya Hosa ikaangukia machweoni kwa jua penye lango la Saleketi, ngazi ya kupandia juu ilipo; hapo vilifuatana kilindo na kilindo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ya Shupimu na Hosa upande wa magharibi, langoni pa Shalekethi, hapo penye daraja ya kupandia, ulinzi kwa ulinzi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Supimu na Hosa wakaangukiwa na kura ya kulinda mulango wa upande wa magaribi kwenye mulango wa Saleketi kwenye barabara ya juu. Ulinzi ulifanywa kwa zamu.