1 Chronicles 26:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila siku upande wa mashariki kulikuwa na mabawabu sita, kaskazini wanne, na kusini wanne, pia kwenye ghala kuliwekwa mabawabu wawiliwawili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kulikuwa na Walawi sita kila siku upande wa mashariki, wanne upande wa kaskazini, wanne upande wa kusini, na wawili wawili kwa mara moja kwenye ghala.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Upande wa mashariki walikuwapo Walawi sita, kaskazini wanne kila siku, kusini wanne kila siku, na wa nyumba ya akiba wawili wawili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila siku upande wa mashariki kulikuwa na mabawabu sita, kaskazini wanne, na kusini wanne, pia kwenye ghala kuliwekwa mabawabu wawiliwawili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kulikuwa na Walawi sita kila siku upande wa mashariki, wanne upande wa kaskazini, wanne upande wa kusini, na wawili wawili kwa mara moja kwenye ghala.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kulikuwa na Walawi sita kila siku upande wa mashariki, wanne upande wa kaskazini, wanne upande wa kusini, na wawili wawili kwa mara moja kwenye ghala.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Upande wa mashariki walikuwapo Walawi sita, kaskazini wanne kila siku, kusini wanne kila siku, na wa nyumba ya akiba wawili wawili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila siku upande wa mashariki kulikuwa na mabawabu sita, kaskazini wanne, na kusini wanne, pia kwenye ghala kuliwekwa mabawabu wawiliwawili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Upande wa maawioni kwa jua walikuwa kila siku Walawi sita, kaskazini kila siku wanne, kusini kila siku wanne, napo penye nyumba ya vilimbiko wawili wawili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Upande wa mashariki walikuwapo Walawi sita, kaskazini wanne kila siku, kusini wanne kila siku, na wa nyumba ya akiba wawili wawili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila siku upande wa mashariki kulikuwa walinzi sita, kaskazini wane, na kusini wane, vilevile kwenye gala kuliwekwa walinzi wawili wawili;