1 Chronicles 26:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwenye banda zuri lililokuwa upande wa magharibi, kulikuwa na mabawabu wanne barabarani, na wawili kwenye banda lenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhusu ukumbi kuelekea magharibi, kulikuwa na wanne barabarani na wawili kwenye ukumbi wenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Penye Parbari upande wa magharibi, walikuwapo wanne darajani, na wawili huko Parbari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwenye banda zuri lililokuwa upande wa magharibi, kulikuwa na mabawabu wanne barabarani, na wawili kwenye banda lenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhusu ukumbi kuelekea magharibi, kulikuwa na wanne barabarani na wawili kwenye ukumbi wenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhusu ukumbi kuelekea magharibi, kulikuwa na wanne barabarani na wawili kwenye ukumbi wenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Penye Parbari upande wa magharibi, walikuwapo wanne darajani, na wawili huko Parbari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwenye banda zuri lililokuwa upande wa magharibi, kulikuwa na mabawabu wanne barabarani, na wawili kwenye banda lenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Penye kijumba kilichojengwa kando upande wa machweoni kwa jua walikuwa wanne penye ngazi, tena wawili hapo penye chumba hicho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Penye Parbari upande wa magharibi, walikuwapo wanne darajani, na wawili huko Parbari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kwenye banda zuri lililokuwa upande wa magaribi, kulikuwa walinzi wane katika barabara na wawili kwenye banda lenyewe.