1 Chronicles 26:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haya ndiyo makundi ya mabawabu miongoni mwa ukoo wa Kora na wazawa wa Merari waliofanya kazi ya ubawabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hii ilikuwa migawanyo ya mabawabu waliokuwa wazao wa Kora na wa Merari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hizo ndizo zamu za mabawabu; wa wana wa Wakora, na wa wana wa Merari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haya ndiyo makundi ya mabawabu miongoni mwa ukoo wa Kora na wazawa wa Merari waliofanya kazi ya ubawabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii ndiyo iliyokuwa migawanyo ya mabawabu waliokuwa wazao wa Kora na wa Merari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii ndiyo iliyokuwa migawanyo ya mabawabu waliokuwa wazao wa Kora na wa Merari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hizo ndizo zamu za mabawabu; wa wana wa Wakora, na wa wana wa Merari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haya ndiyo makundi ya mabawabu miongoni mwa ukoo wa Kora na wazawa wa Merari waliofanya kazi ya ubawabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya ndiyo mafungu ya walinda malango waliokuwa wana wa Kora na wana wa Merari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hizo ndizo zamu za mabawabu; wa wana wa Wakora, na wa wana wa Merari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haya ndiyo makundi ya walinzi kati ya ukoo wa Kora na ya wazao wa Merari waliofanya kazi ya ulinzi wa milango.