1 Chronicles 26:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye alikuwa na wana saba: Zekaria mzaliwa wake wa kwanza, Yediaeli wa pili, Zebadia wa tatu, Yathnieli wa nne,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Meshelemia alikuwa na wana wafuatao: Zekaria mzaliwa wa kwanza, Yediaeli wa pili, Zebadia wa tatu, Yathnieli wa nne,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Meshelemia alikuwa na wana; Zekaria mzaliwa wa kwanza, Yediaeli wa pili, Zebadia wa tatu, Yathnieli wa nne;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye alikuwa na wana saba: Zekaria mzaliwa wake wa kwanza, Yediaeli wa pili, Zebadia wa tatu, Yathnieli wa nne,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Meshelemia alikuwa na wana wafuatao: Zekaria mzaliwa wa kwanza, Yadiaeli wa pili, Zebadia wa tatu, Yathnieli wa nne,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Meshelemia alikuwa na wana wafuatao: Zekaria mzaliwa wa kwanza, Yediaeli wa pili, Zebadia wa tatu, Yathnieli wa nne,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Meshelemia alikuwa na wana; Zekaria mzaliwa wa kwanza, Yediaeli wa pili, Zebadia wa tatu, Yathnieli wa nne;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye alikuwa na wana saba: Zekaria mzaliwa wake wa kwanza, Yediaeli wa pili, Zebadia wa tatu, Yathnieli wa nne,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Meselemia walikuwa wa kwanza Zakaria, wa pili Yediaeli, wa tatu Zebadia, wa nne Yatinieli;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Meshelemia alikuwa na wana; Zekaria mzaliwa wa kwanza, Yediaeli wa pili, Zebadia wa tatu, Yathnieli wa nne;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Meselemia alikuwa na wana saba: Zekaria muzaliwa wake wa kwanza, Yediaeli wa pili, Zebadia wa tatu, Yatinieli wa ine,