1 Chronicles 26:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ladani, mmoja wa ukoo wa Gershoni, alikuwa babu wa baadhi ya jamaa, miongoni mwao ikiwamo jamaa ya mwanawe Yehieli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazao wa Ladani, waliokuwa Wagershoni kupitia Ladani na waliokuwa viongozi wa jamaa za Ladani Mgershoni, walikuwa Yehieli,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Ladani; wana wa Wagershoni waliokuwa wa Ladani; wakuu wa mbari za mababa waliokuwa wa Ladani, Mgershoni; Yehieli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ladani, mmoja wa ukoo wa Gershoni, alikuwa babu wa baadhi ya jamaa, miongoni mwao ikiwamo jamaa ya mwanawe Yehieli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wazao wa Ladani, ambao walikuwa Wagerishoni kupitia Ladani na ambao walikuwa viongozi wa jamaa za Ladani Mgerishoni, walikuwa Yehieli,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wazao wa Ladani, waliokuwa Wagershoni kupitia Ladani na waliokuwa viongozi wa jamaa za Ladani Mgershoni, walikuwa Yehieli,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Ladani; wana wa Wagershoni waliokuwa wa Ladani; wakuu wa koo za mababa waliokuwa wa Ladani, Mgershoni; Yehieli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ladani, mmoja wa ukoo wa Gershoni, alikuwa babu wa baadhi ya jamaa, miongoni mwao ikiwamo jamaa ya mwanawe Yehieli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwao wana wa Ladani ndio wana wa Gersoni, aliowazaa Ladani; waliokuwa wakuu wao hiyo milango ya Ladani, mwana wa Gersoni, ndio wa Yahieli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Ladani; wana wa Wagershoni waliokuwa wa Ladani; wakuu wa mbari za mababa waliokuwa wa Ladani, Mgershoni; Yehieli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ladani, mumoja wa ukoo wa Gersoni, alikuwa babu wa jamaa nyingi, kati yao kukiwa jamaa ya mwana wake Yehieli.