1 Chronicles 26:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia kazi ziligawanywa kwa watu wa koo za Wasiria, Waishari, Wahebroni na Wauzieli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka kwa Waamrami, Waishari, Wahebroni na Wauzieli:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wa Waamramu, wa Waishari, wa Wahebroni, wa Wauzieli;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia kazi ziligawanywa kwa watu wa koo za Wasiria, Waishari, Wahebroni na Wauzieli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka kwa wana wa Amramu, wana wa Ishari, wana wa Hebroni na wana wa Uzieli:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka kwa wana wa Amramu, wana wa Ishari, wana wa Hebroni na wana wa Uzieli:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wa Waamrami wa Waishari, wa Wahebroni, wa Wauzieli;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia kazi ziligawanywa kwa watu wa koo za Wasiria, Waishari, Wahebroni na Wauzieli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwao wa Amuramu na kwao wa Isihari na kwao wa Heburoni na kwao wa Azieli
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wa Waamramu, wa Waishari, wa Wahebroni, wa Wauzieli;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile kazi ziligawanywa kwa watu wa ukoo za Waamuramu, Waisihari, Wahebroni na Wauzieli.