1 Chronicles 26:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shebueli, mwana wa Gershoni, mwana wa Mose, alikuwa ofisa mkuu wa hazina hizo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Shebueli, mzao wa Gershomu mwana wa Musa, alikuwa afisa mwangalizi wa hazina.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Shebueli, mwana wa Gershomu, mwana wa Musa, alikuwa mtawala hazina zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shebueli, mwana wa Gershoni, mwana wa Mose, alikuwa ofisa mkuu wa hazina hizo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shebueli, mzao wa Gershoni mwana wa Mose, alikuwa afisa mwangalizi wa hazina.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shebueli, mzao wa Gershomu mwana wa Musa, alikuwa afisa mwangalizi wa hazina.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Shebueli, mwana wa Gershomu, mwana wa Musa, alikuwa mtunzaji wa hazina zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shebueli, mwana wa Gershoni, mwana wa Mose, alikuwa ofisa mkuu wa hazina hizo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndiko, Sebueli, mwana wa Gersomu, mwana wa Mose, alikokuwa mkuu wao walioviangalia vilimbiko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Shebueli, mwana wa Gershomu, mwana wa Musa, alikuwa mtawala hazina zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sebueli mwana wa Gersoni, mujukuu wa Musa, alikuwa musimamizi mukubwa wa hazina zile.