1 Chronicles 26:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na ndugu yake, alikuwa Eliezeri, aliyekuwa baba yake Rehabia, aliyemzaa Yeshaya, aliyemzaa Yoramu, aliyemzaa Zikri, aliyemzaa Shelomithi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jamaa zake kutoka kwa Eliezeri, wanawe walikuwa: Rehabia, Yeshaya, Yoramu, Zikri na Shelomithi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na nduguze; wa Eliezeri, Rehabia mwanawe, na Ishia mwanawe, na Yoramu mwanawe, na Zikri mwanawe, na Shelomothi mwanawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na ndugu yake, alikuwa Eliezeri, aliyekuwa baba yake Rehabia, aliyemzaa Yeshaya, aliyemzaa Yoramu, aliyemzaa Zikri, aliyemzaa Shelomithi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jamaa zake kutoka kwa Eliezeri, wanawe walikuwa: Rehabia, Yeshaya, Oramu, Zikri na Shelomithi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jamaa zake kutoka kwa Eliezeri, wanawe walikuwa: Rehabia, Yeshaya, Yoramu, Zikri na Shelomithi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na nduguze; wa Eliezeri, Rehabia mwanawe, na Ishia mwanawe, na Yoramu mwanawe, na Zikri mwanawe, na Shelomothi mwanawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na ndugu yake, alikuwa Eliezeri, aliyekuwa baba yake Rehabia, aliyemzaa Yeshaya, aliyemzaa Yoramu, aliyemzaa Zikri, aliyemzaa Shelomithi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena kwao ndugu zake waliozaliwa na Eliezeri alikuwa mwanawe Rehabia, mwanawe alikuwa Yesaya, mwanawe alikuwa Yoramu, mwanawe alikuwa Zikiri, mwanawe alikuwa Selomiti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na nduguze; wa Eliezeri, Rehabia mwanawe, na Ishia mwanawe, na Yoramu mwanawe, na Zikri mwanawe, na Shelomothi mwanawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na ndugu yake, alikuwa Eliezeri, aliyekuwa baba ya Rehabia. Rehabia alikuwa baba ya Yesaya, aliyemuzaa Yoramu, Yoramu alizaa Zikiri, Zikiri alizaa Selomoti.