1 Chronicles 26:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia, vitu vyote vilivyowekwa wakfu na Samueli, mwonaji, na Shauli mwana wa Kishi, na Abneri, na Yoabu mwana wa Seruya, vilikuwa chini ya uangalizi wa Shelomithi na nduguze.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila kitu kilichokuwa kimewekwa wakfu na Samweli mwonaji, na Sauli mwana wa Kishi, Abneri mwana wa Neri, na Yoabu mwana wa Seruya, pamoja na vitu vingine vyote vilivyokuwa vimewekwa wakfu, vyote vilikuwa chini ya uangalizi wa Shelomithi na jamaa zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na vyote alivyoviweka wakfu Samweli mwonaji, na Sauli mwana wa Kishi, na Abneri mwana wa Neri, na Yoabu mwana wa Seruya; na mtu ye yote aliyekiweka wakfu kitu cho chote, kilikuwa chini ya mkono wa Shelomothi na nduguze.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia, vitu vyote vilivyowekwa wakfu na Samueli, mwonaji, na Shauli mwana wa Kishi, na Abneri, na Yoabu mwana wa Seruya, vilikuwa chini ya uangalizi wa Shelomithi na nduguze.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila kitu kilichokuwa kimewekwa wakfu na Samweli mwonaji na Sauli mwana wa Kishi, Abneri mwana wa Neri na Yoabu mwana wa Seruya, pamoja na vitu vingine vyote vilivyokuwa vimewekwa wakfu vilikuwa chini ya uangalizi wa Shelomithi na jamaa zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila kitu kilichokuwa kimewekwa wakfu na Samweli mwonaji, na Sauli mwana wa Kishi, Abneri mwana wa Neri, na Yoabu mwana wa Seruya, pamoja na vitu vingine vyote vilivyokuwa vimewekwa wakfu, vyote vilikuwa chini ya uangalizi wa Shelomithi na jamaa zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na vyote alivyoviweka wakfu Samweli mwonaji, na Sauli mwana wa Kishi, na Abneri mwana wa Neri, na Yoabu mwana wa Seruya; na mtu yeyote aliyekiweka wakfu kitu chochote, kilikuwa chini ya mkono wa Shelomothi na nduguze.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia, vitu vyote vilivyowekwa wakfu na Samueli, mwonaji, na Shauli mwana wa Kishi, na Abneri, na Yoabu mwana wa Seruya, vilikuwa chini ya uangalizi wa Shelomithi na nduguze.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo vyote, alivyovitakasa mtazamaji Samweli na Sauli, mwana wa Kisi, na Abineri, mwana wa Neri, na Yoabu, mwana wa Seruya, vyote pia vikatiwa mikononi mwa Selomiti na ndugu zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na vyote alivyoviweka wakfu Samweli mwonaji, na Sauli mwana wa Kishi, na Abneri mwana wa Neri, na Yoabu mwana wa Seruya; na mtu ye yote aliyekiweka wakfu kitu cho chote, kilikuwa chini ya mkono wa Shelomothi na nduguze.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile vitu vyote vilivyotolewa kwa Mungu na nabii Samweli na Saulo mwana wa Kisi, na Abeneri, na Yoabu mwana wa Zeruya, vilikuwa chini ya uangalizi wa Selomiti na wandugu zake.