1 Chronicles 26:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miongoni mwa Waishari, Kenania na wanawe walipewa kazi za utawala kama maofisa na waamuzi, kwa ajili ya Waisraeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka kwa wana wa Ishari: Kenania na wanawe walipewa kazi nje ya Hekalu kama maafisa na waamuzi juu ya Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika Waishari, Kenania na wanawe walikuwa kwa ajili ya kazi ya nje juu ya Israeli, kuwa maakida na makadhi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miongoni mwa Waishari, Kenania na wanawe walipewa kazi za utawala kama maofisa na waamuzi, kwa ajili ya Waisraeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka kwa wana wa Ishari: Kenani na wanawe walipewa kazi nje ya Hekalu kama maafisa na waamuzi juu ya Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka kwa wana wa Ishari: Kenania na wanawe walipewa kazi nje ya Hekalu kama maafisa na waamuzi juu ya Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika Waishari, Kenania na wanawe walikuwa kwa ajili ya kazi ya nje juu ya Israeli, kuwa maofisa na waamuzi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Miongoni mwa Waishari, Kenania na wanawe walipewa kazi za utawala kama maofisa na waamuzi, kwa ajili ya Waisraeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwao wa Isihari waliwekwa Kenania na wanawe kufanya kazi za huko nje kwa Waisiraeli, wawe wenye amri na waamuzi wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika Waishari, Kenania na wanawe walikuwa kwa ajili ya kazi ya nje juu ya Israeli, kuwa maakida na makadhi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kati ya watu wa ukoo wa Isiari, Kenania na wana wake walipewa kazi za utawala kama kusimamia watu na waamuzi, kwa ajili ya Waisraeli.