1 Chronicles 26:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shemaya, mzaliwa wa kwanza wa Obed-edomu, alikuwa na wana sita: Othni, Refaeli, Obedi, Elizabadi, nduguze walikuwa mashujaa, Elihu na Semakia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Shemaya ni: Othni, Refaeli, Obedi na Elizabadi; jamaa zake Elihu na Semakia walikuwa pia watu wenye uwezo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Shemaya; Othni, na Refaeli, na Obedi, na Elzabadi, nduguze walikuwa mashujaa, Elihu, na Semakia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shemaya, mzaliwa wa kwanza wa Obed-edomu, alikuwa na wana sita: Othni, Refaeli, Obedi, Elizabadi, nduguze walikuwa mashujaa, Elihu na Semakia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Shemaya ni: Othni, Refaeli, Obedi na Elizabadi; jamaa zake Elihu na Semakia walikuwa pia watu wenye uwezo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Shemaya ni: Othni, Refaeli, Obedi na Elizabadi; jamaa zake Elihu na Semakia walikuwa pia watu wenye uwezo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Shemaya; Othni, na Refaeli, na Obedi, na Elzabadi, nduguze walikuwa mashujaa, Elihu, na Semakia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shemaya, mzaliwa wa kwanza wa Obed-edomu, alikuwa na wana sita: Othni, Refaeli, Obedi, Elizabadi, nduguze walikuwa mashujaa, Elihu na Semakia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Semaya walikuwa Otini na Refaeli na Obedi, tena Elizabadi na ndugu zake Elihu na Semakia waliokuwa wenye nguvu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Shemaya; Othni, na Refaeli, na Obedi, na Elzabadi, nduguze walikuwa mashujaa, Elihu, na Semakia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Semaya walikuwa: Otini, Refaeli, Obedi, Elizabadi, wandugu zake walikuwa mashujaa, Elihu na Semakia.