1 Chronicles 26:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao wote wana wa Obed-edomu; wao na wana wao na ndugu zao, walikuwa watu hodari wawezao huo utumishi. Wazawa wote wa Obed-edomu walikuwa sitini na wawili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa wote walikuwa wazao wa Obed-Edomu; wao na wana wao na jamaa zao walikuwa watu wenye uwezo na nguvu za kufanya kazi. Wazao wa Obed-Edomu jumla yao walikuwa sitini na wawili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao wote walikuwa wana wa Obed-edomu; wao na wana wao na ndugu zao, watu hodari wawezao huo utumishi; watu wa Obed-edomu sitini na wawili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao wote wana wa Obed-edomu; wao na wana wao na ndugu zao, walikuwa watu hodari wawezao huo utumishi. Wazawa wote wa Obed-edomu walikuwa sitini na wawili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa wote walikuwa wazao wa Obed-Edomu; wao na wana wao na jamaa zao walikuwa watu wenye uwezo pamoja na nguvu za kufanya kazi. Wazao wa Obed-Edomu jumla yao walikuwa sitini na wawili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa wote walikuwa wazao wa Obed-Edomu; wao na wana wao na jamaa zao walikuwa watu wenye uwezo pamoja na nguvu za kufanya kazi. Wazao wa Obed-Edomu jumla yao walikuwa sitini na wawili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao wote walikuwa wana wa Obed-edomu; wao na wana wao na ndugu zao, watu hodari wawezao huo utumishi; watu wa Obed-edomu sitini na wawili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao wote wana wa Obed-edomu; wao na wana wao na ndugu zao, walikuwa watu hodari wawezao huo utumishi. Wazawa wote wa Obed-edomu walikuwa sitini na wawili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa wote walikuwa miongoni mwao wana wa Obedi-Edomu, wao na wana wao na ndugu zao walikuwa watu wenye nguvu walioufalia huo utumishi; hao wa Obedi-Edomu walikuwa 62.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao wote walikuwa wana wa Obed-edomu; wao na wana wao na ndugu zao, watu hodari wawezao huo utumishi; watu wa Obed-edomu sitini na wawili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao wote walikuwa wana wa Obedi-Edomu; wao na wana wao na wandugu zao, walikuwa watu hodari katika utumishi wao. Wazao wote wa Obedi-Edomu walikuwa makumi sita na wawili.