1 Chronicles 26:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Meshelemia alikuwa na wana na nduguze; watu wenye uwezo kumi na wanne.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Meshelemia alikuwa na wana na jamaa zake, waliokuwa watu wenye uwezo: jumla yao watu kumi na wanane.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Meshelemia alikuwa na wana na nduguze, watu mashujaa, kumi na wanane.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Meshelemia alikuwa na wana na nduguze; watu wenye uwezo kumi na wanne.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Meshelemia alikuwa na wana na jamaa zake, waliokuwa watu wenye uwezo, jumla yao watu kumi na wanane.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Meshelemia alikuwa na wana na jamaa zake, waliokuwa watu wenye uwezo: jumla yao watu kumi na wanane.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Meshelemia alikuwa na wana na nduguze, watu mashujaa, kumi na wanane.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Meshelemia alikuwa na wana na nduguze; watu wenye uwezo kumi na wanne.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Meselemia alikuwa na wana na ndugu waliokuwa wenye nguvu, nao walikuwa 18.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Meshelemia alikuwa na wana na nduguze, watu mashujaa, kumi na wanane.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Meselemia alikuwa na wana na wandugu zake; watu wenye uwezo kumi na wane.