1 Chronicles 27:10 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwezi wa saba: Helesi, Mpeloni, wa wana wa Efraimu; alikuwa na kundi la wanajeshi 24,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jemadari wa kikosi cha saba kwa mwezi wa saba alikuwa Helesi Mpeloni wa Waefraimu. Kikosi chake kilikuwa na watu elfu ishirini na nne.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akida wa saba wa mwezi wa saba alikuwa Heksi, Mpeloni, wa wana wa Efraimu; na katika zamu yake walikuwa watu ishirini na nne elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwezi wa saba: Helesi, Mpeloni, wa wana wa Efraimu; alikuwa na kundi la wanajeshi 24,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jemadari wa kikosi cha saba kwa mwezi wa saba, alikuwa Helesi, Mpeloni wa Waefraimu. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jemadari wa kikosi cha saba kwa mwezi wa saba alikuwa Helesi Mpeloni wa Waefraimu. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kamanda wa saba wa mwezi wa saba alikuwa Heksi, Mpeloni, wa wana wa Efraimu; na katika zamu yake walikuwa watu elfu ishirini na nne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwezi wa saba: Helesi, Mpeloni, wa wana wa Efraimu; alikuwa na kundi la wanajeshi 24,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkuu wa saba wa mwezi wa saba alikuwa Mpuloni Helesi aliyekuwa mmoja wao wana wa Efuraimu. Fungu lake nalo lilikuwa lenye watu 24000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akida wa saba wa mwezi wa saba alikuwa Heksi, Mpeloni, wa wana wa Efraimu; na katika zamu yake walikuwa watu ishirini na nne elfu.