1 Chronicles 27:12 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwezi wa tisa: Abiezeri Mwanathothi, wa Wabenyamini; naye alikuwa na kundi la wanajeshi 24,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jemadari wa tisa kwa mwezi wa tisa alikuwa Abiezeri Mwanathothi wa Wabenyamini. Kikosi chake kilikuwa na watu elfu ishirini na nne.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akida wa kenda wa mwezi wa kenda alikuwa Abiezeri, Mwanathothi, wa Wabenyamini; na katika zamu yake walikuwa watu ishirini na nne elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwezi wa tisa: Abiezeri Mwanathothi, wa Wabenyamini; naye alikuwa na kundi la wanajeshi 24,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jemadari wa tisa kwa mwezi wa tisa, alikuwa Abiezeri, Mwanathothi wa Wabenyamini. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jemadari wa tisa kwa mwezi wa tisa alikuwa Abiezeri Mwanathothi wa Wabenyamini. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kamanda wa tisa wa mwezi wa tisa alikuwa Abiezeri, Mwanathothi, wa Wabenyamini; na katika zamu yake walikuwa watu elfu ishirini na nne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwezi wa tisa: Abiezeri Mwanathothi, wa Wabenyamini; naye alikuwa na kundi la wanajeshi 24,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkuu wa tisa wa mwezi wa tisa alikuwa Abiezeri wa Anatoti aliyekuwa mmoja wao Wabenyamini. Fungu lake nalo lilikuwa lenye watu 24000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akida wa kenda wa mwezi wa kenda alikuwa Abiezeri, Mwanathothi, wa Wabenyamini; na katika zamu yake walikuwa watu ishirini na nne elfu.