1 Chronicles 27:16 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hii ndiyo orodha ya wakuu wa makabila ya Israeli: Wa Wareubeni, Eliezeri mwana wa Zikri; Eliezeri ndiye aliyekuwa ofisa mkuu; wa Wasimeoni, Shefatia mwana wa Maaka;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Viongozi wa makabila ya Israeli walikuwa: Kwa Wareubeni: Eliezeri mwana wa Zikri; kwa Wasimeoni: Shefatia mwana wa Maaka;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena wakuu wa kabila za Israeli walikuwa hawa; wa Wareubeni, Eliezeri mwana wa Zikri; wa Wasimeoni, Shefatia mwana wa Maaka;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hii ndiyo orodha ya wakuu wa makabila ya Israeli: wa Wareubeni, Eliezeri mwana wa Zikri; Eliezeri ndiye aliyekuwa ofisa mkuu; wa Wasimeoni, Shefatia mwana wa Maaka;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maafisa waliokuwa wanaoongoza makabila ya Israeli walikuwa: Kwa Wareubeni: Eliezeri mwana wa Zikri; kwa Wasimeoni: Shefatia mwana wa Maaka;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maafisa waliokuwa wanaoongoza makabila ya Israeli walikuwa: Kwa Wareubeni: Eliezeri mwana wa Zikri; kwa Wasimeoni: Shefatia mwana wa Maaka;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakuu wa makabila ya Israeli walikuwa hawa; wa Wareubeni, Eliezeri mwana wa Zikri; wa Wasimeoni, Shefatia mwana wa Maaka;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hii ndiyo orodha ya wakuu wa makabila ya Israeli: Wa Wareubeni, Eliezeri mwana wa Zikri; Eliezeri ndiye aliyekuwa ofisa mkuu; wa Wasimeoni, Shefatia mwana wa Maaka;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakuu wa mashina ya Isiraeli walikuwa hawa: kwa Warubeni alikuwa mkubwa Eliezeri, mwana wa zikiri; kwa Wasimeoni Sefatia, mwana wa Maka;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena wakuu wa kabila za Israeli walikuwa hawa; wa Wareubeni, Eliezeri mwana wa Zikri; wa Wasimeoni, Shefatia mwana wa Maaka;