1 Chronicles 27:2 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yashobeamu mwana wa Zabdieli alikuwa kiongozi wa kikosi cha kwanza mnamo mwezi wa kwanza; kikosi chake kilikuwa na watu 24,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msimamizi wa kikosi cha kwanza kwa mwezi wa kwanza alikuwa Yashobeamu mwana wa Zabdieli. Kulikuwa na watu elfu ishirini na nne katika kikosi chake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Juu ya zamu ya kwanza ya mwezi wa kwanza alikuwa Yashobeamu, mwana wa Zabdieli; na katika zamu yake walikuwa watu ishirini na nne elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yashobeamu mwana wa Zabdieli alikuwa kiongozi wa kikosi cha kwanza mnamo mwezi wa kwanza; kikosi chake kilikuwa na watu 24,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msimamizi wa kikosi cha kwanza kwa mwezi wa kwanza, alikuwa Yeshobeamu mwana wa Zabdieli. Kulikuwa na watu 24,000 katika kikosi chake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msimamizi wa kikosi cha kwanza kwa mwezi wa kwanza alikuwa Yashobeamu mwana wa Zabdieli. Kulikuwa na watu 24,000 katika kikosi chake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Juu ya zamu ya kwanza ya mwezi wa kwanza alikuwa Yashobeamu, mwana wa Zabdieli; na katika zamu yake walikuwa watu elfu ishirini na nne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yashobeamu mwana wa Zabdieli alikuwa kiongozi wa kikosi cha kwanza mnamo mwezi wa kwanza; kikosi chake kilikuwa na watu 24,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkuu wa fungu la kwanza la mwezi wa kwanza alikuwa Yasobamu, mwana wa zabudieli; nalo fungu lake lilikuwa lenye watu 24000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Juu ya zamu ya kwanza ya mwezi wa kwanza alikuwa Yashobeamu, mwana wa Zabdieli; na katika zamu yake walikuwa watu ishirini na nne elfu.