1 Chronicles 27:20 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wa wana wa Efraimu, Hoshea mwana wa Azazia; wa nusu ya kabila la Manase, Yoeli mwana wa Pedaya;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa Waefraimu: Hoshea mwana wa Azazia; kwa nusu ya kabila la Manase: Yoeli mwana wa Pedaya;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wa wana wa Efraimu, Hoshea mwana wa Azazia, wa nusu kabila ya Manase, Yoeli mwana wa Pedaya;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wa wana wa Efraimu, Hoshea mwana wa Azazia; wa nusu ya kabila la Manase, Yoeli mwana wa Pedaya;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa Waefraimu: Hoshea mwana wa Azazia; kwa nusu ya kabila la Manase: Yoeli mwana wa Pedaya;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa Waefraimu: Hoshea mwana wa Azazia; kwa nusu ya kabila la Manase: Yoeli mwana wa Pedaya;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wa wana wa Efraimu, Hoshea mwana wa Azazia, wa nusu kabila la Manase, Yoeli mwana wa Pedaya;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wa wana wa Efraimu, Hoshea mwana wa Azazia; wa nusu ya kabila la Manase, Yoeli mwana wa Pedaya;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa wana wa Efuraimu Hosea, mwana wa Azazia; kwa nusu ya shina la Manase Yoeli, mwana wa Pedaya;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)