1 Chronicles 27:22 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wa Dani, Azareli mwana wa Yerohamu. Hao ndio wakuu wa makabila ya Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa Wadani: Azareli mwana wa Yerohamu. Hao ndio walikuwa maafisa wa makabila ya Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wa Dani, Azareli mwana wa Yerohamu. Hao walikuwa maakida wa kabila za Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wa Dani, Azareli mwana wa Yerohamu. Hao ndio wakuu wa makabila ya Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa Wadani, Azareli mwana wa Yerohamu. Hao ndio waliokuwa maafisa wa kabila la Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa Wadani: Azareli mwana wa Yerohamu. Hao ndio waliokuwa maafisa wa makabila ya Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wa Dani, Azareli mwana wa Yerohamu. Hao walikuwa viongozi wa makabila ya Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wa Dani, Azareli mwana wa Yerohamu. Hao ndio wakuu wa makabila ya Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa Dani Azareli, mwana wa Yerohamu. Hawa walikuwa wakuu wa mashina ya Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wa Dani, Azareli mwana wa Yerohamu. Hao walikuwa maakida wa kabila za Israeli.