1 Chronicles 27:23 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Daudi hakuwahesabu wale waliokuwa chini ya umri wa miaka ishirini kwa maana Mwenyezi-Mungu aliahidi kuwaongeza Waisraeli wawe wengi kama nyota za mbinguni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi hakuwahesabu watu waliokuwa chini ya miaka ishirini, kwa sababu Mwenyezi Mungu alikuwa ameahidi kuwafanya Israeli kuwa wengi kama nyota za angani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Daudi hakufanya hesabu yao wenye miaka ishirini na waliopungua; kwa kuwa Bwana alikuwa amesema, ya kwamba atawaongeza Israeli mfano wa nyota za mbinguni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Daudi hakuwahesabu wale waliokuwa chini ya umri wa miaka ishirini kwa maana Mwenyezi-Mungu aliahidi kuwaongeza Waisraeli wawe wengi kama nyota za mbinguni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi hakuwahesabu wale watu waliokuwa chini ya miaka ishirini, kwa sababu Mungu alikuwa ameahidi kuwafanya Israeli kuwa wengi kama nyota za angani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi hakuwahesabu watu waliokuwa chini ya miaka ishirini, kwa sababu bwana alikuwa ameahidi kuwafanya Israeli kuwa wengi kama nyota za angani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Daudi hakufanya hesabu ya waliokuwa na umri wa chini ya miaka ishirini; kwa kuwa BWANA alikuwa amesema, ya kwamba atawaongeza Israeli mfano wa nyota za mbinguni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Daudi hakuwahesabu wale waliokuwa chini ya umri wa miaka ishirini kwa maana Mwenyezi-Mungu aliahidi kuwaongeza Waisraeli wawe wengi kama nyota za mbinguni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wao waliokuwa wa miaka ishirini nao wasioipata bado Dawidi hakuwahesabu, kwani Bwana alisema, ya kuwa atawaongeza Waisiraeli, wawe wengi kama nyota za mbinguni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Daudi hakufanya hesabu yao wenye miaka ishirini na waliopungua; kwa kuwa BWANA alikuwa amesema, ya kwamba atawaongeza Israeli mfano wa nyota za mbinguni.