1 Chronicles 27:26 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliyewasimamia wakulima alikuwa Ezri mwana wa Kelubu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ezri mwana wa Kelubu alikuwa msimamizi wa wafanyakazi waliolima katika mashamba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na juu ya hao wenye kazi ya shamba kuilima ardhi alikuwa Ezri mwana wa Kelubu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliyewasimamia wakulima alikuwa Ezri mwana wa Kelubu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ezri mwana wa Kelubu alikuwa msimamizi wa wafanya kazi waliokuwa wanalima katika mashamba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ezri mwana wa Kelubu alikuwa msimamizi wa wafanyakazi waliolima katika mashamba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na juu ya hao wenye kazi ya kulima shamba alikuwa Ezri mwana wa Kelubu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliyewasimamia wakulima alikuwa Ezri mwana wa Kelubu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msimamizi wa wafanya kazi za kulima mashambani alikuwa Eziri, mwana wa Kelubu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na juu ya hao wenye kazi ya shamba kuilima ardhi alikuwa Ezri mwana wa Kelubu;