1 Chronicles 27:28 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliyesimamia mizabibu na mikuyu ya Shefela alikuwa Baal-hanani, Mgederi. Aliyesimamia ghala za mafuta alikuwa Yoashi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baal-Hanani Mgederi ndiye alikuwa mwangalizi wa mashamba ya mfalme ya mizeituni na mikuyu katika tambarare za vilima vya magharibi. Yoashi alikuwa msimamizi wa maghala ya mafuta ya zeituni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na juu ya mizeituni na mikuyu iliyokuwamo katika Shefela alikuwa Baal-hanani, Mgederi; na juu ya ghala za mafuta alikuwa Yoashi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliyesimamia mizabibu na mikuyu ya Shefela alikuwa Baal-hanani, Mgederi. Aliyesimamia ghala za mafuta alikuwa Yoashi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baal-Hanani, Mgederi, ndiye aliyekuwa mwangalizi wa mashamba ya mfalme ya mizeituni na mikuyu katika tambarare za vilima vya magharibi. Yoashi alikuwa msimamizi wa ghala za mafuta ya zeituni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baal-Hanani Mgederi ndiye alikuwa mwangalizi wa mashamba ya mfalme ya mizeituni na mikuyu katika tambarare za vilima vya magharibi. Yoashi alikuwa msimamizi wa ghala za mafuta ya zeituni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na juu ya mizeituni na mikuyu iliyokuwamo katika Shefela alikuwa Baal-hanani, Mgederi; na juu ya ghala za mafuta alikuwa Yoashi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliyesimamia mizabibu na mikuyu ya Shefela alikuwa Baal-hanani, Mgederi. Aliyesimamia ghala za mafuta alikuwa Yoashi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msimamizi wa michekele na wa mikuyu iliyokuwako katika nchi ya tambarare alikuwa Baali-Hanani wa Gaderi, naye mtunza mafuta yaliyolimbikwa alikuwa Yoasi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na juu ya mizeituni na mikuyu iliyokuwamo katika Shefela alikuwa Baal-hanani, Mgederi; na juu ya ghala za mafuta alikuwa Yoashi;