1 Chronicles 27:29 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliyesimamia mifugo iliyokuwa Sharoni alikuwa Shitrai, Msharoni; aliyesimamia mifugo iliyokuwa mabondeni alikuwa Shafati mwana wa Adlai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Shitrai Msharoni alikuwa msimamizi wa mifugo waliolishwa huko Sharoni. Shafati mwana wa Adlai alikuwa msimamizi wa mifugo iliyokuwa makondeni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na juu ya makundi ya ng'ombe waliolishwa katika Sharoni alikuwa Shitrai, Msharoni; na juu ya makundi waliokuwamo mabondeni alikuwa Shafati mwana wa Adlai;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliyesimamia mifugo iliyokuwa Sharoni alikuwa Shitrai, Msharoni; aliyesimamia mifugo iliyokuwa mabondeni alikuwa Shafati mwana wa Adlai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shitrai, Msharoni, alikuwa msimamizi wa makundi ya ng'ombe waliojilisha huko Sharoni. Shafati mwana wa Adlai alikuwa msimamizi wa yale makundi ya ng'ombe yaliyokuwa makondeni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shitrai Msharoni alikuwa msimamizi wa makundi ya ng’ombe waliojilisha huko Sharoni. Shafati mwana wa Adlai alikuwa msimamizi wa yale makundi ya ng’ombe yaliyokuwa makondeni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na juu ya mifugo iliyolishwa katika Sharoni alikuwa Shitrai, Msharoni; na juu ya mifugo iliyokuwamo mabondeni alikuwa Shafati mwana wa Adlai;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliyesimamia mifugo iliyokuwa Sharoni alikuwa Shitrai, Msharoni; aliyesimamia mifugo iliyokuwa mabondeni alikuwa Shafati mwana wa Adlai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msimamizi wa ng'ombe waliolisha Saroni alikuwa Sitirai wa Saroni, naye msimamizi wa ng'ombe walioko mabondeni alikuwa Safati, mwana wa Adilai.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na juu ya makundi ya ng’ombe waliolishwa katika Sharoni alikuwa Shitrai, Msharoni; na juu ya makundi waliokuwamo mabondeni alikuwa Shafati mwana wa Adlai;