1 Chronicles 27:3 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye alikuwa mzawa wa Peresi, naye akawa mkuu wa makamanda wote wa jeshi katika mwezi wa kwanza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye alikuwa mzao wa Peresi, na mkuu wa maafisa wote wa jeshi kwa mwezi wa kwanza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye alikuwa wa wana wa Peresi, mkuu wa maakida wote wa jeshi mwezi wa kwanza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye alikuwa mzawa wa Peresi, naye akawa mkuu wa makamanda wote wa jeshi katika mwezi wa kwanza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye alikuwa mzao wa Peresi na mkuu wa maafisa wote wa jeshi kwa mwezi wa kwanza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye alikuwa mzao wa Peresi, na mkuu wa maafisa wote wa jeshi kwa mwezi wa kwanza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye alikuwa wa wana wa Peresi, mkuu wa makamanda wote wa jeshi mwezi wa kwanza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye alikuwa mzawa wa Peresi, naye akawa mkuu wa makamanda wote wa jeshi katika mwezi wa kwanza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alikuwa mmoja wao wana wa Peresi, akawa kichwa chao wakuu wote wa vikosi vya mwezi wa kwanza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye alikuwa wa wana wa Peresi, mkuu wa maakida wote wa jeshi mwezi wa kwanza.