1 Chronicles 27:30 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliyesimamia ngamia alikuwa Obili Mwishmaeli. Aliyesimamia punda alikuwa Yedeya, Mmeronothi. Aliyesimamia makundi ya kondoo alikuwa Yazizi, Mhagri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Obili Mwishmaeli alikuwa msimamizi wa ngamia. Yedeya Mmeronothi alikuwa msimamizi wa punda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na juu ya ngamia alikuwa Obili, Mwishmaeli; na juu ya punda alikuwa Yedeya, Mmeronothi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliyesimamia ngamia alikuwa Obili Mwishmaeli. Aliyesimamia punda alikuwa Yedeya, Mmeronothi. Aliyesimamia makundi ya kondoo alikuwa Yazizi, Mhagri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Obili, Mwishmaeli, alikuwa msimamizi wa ngamia. Yehdeya, Mmeronothi, alikuwa msimamizi wa punda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Obili Mwishmaeli alikuwa msimamizi wa ngamia. Yedeya Mmeronothi alikuwa msimamizi wa punda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na juu ya ngamia alikuwa Obili, Mwishmaeli; na juu ya punda alikuwa Yedeya, Mmeronothi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliyesimamia ngamia alikuwa Obili Mwishmaeli. Aliyesimamia punda alikuwa Yedeya, Mmeronothi. Aliyesimamia makundi ya kondoo alikuwa Yazizi, Mhagri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msimamizi wa ngamia alikuwa Mwisimaeli Obili, naye msimamizi wa punda wake alikuwa Yehedia wa Meronoti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)