1 Chronicles 27:31 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao wote walikuwa watunzaji wa mali ya mfalme Daudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yazizi Mhagri alikuwa msimamizi wa makundi ya kondoo na mbuzi. Hawa wote ndio walikuwa maafisa wasimamizi wa mali alizokuwa nazo Mfalme Daudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na juu ya makundi ya kondoo alikuwa Yazizi, Mhagri. Hao wote walikuwa maakida wa akiba alizokuwa nazo mfalme Daudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao wote walikuwa watunzaji wa mali ya mfalme Daudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yazizi, Mhagri, alikuwa msimamizi wa makundi ya kondoo na mbuzi. Hawa wote ndio waliokuwa maafisa wasimamizi wa mali alizokuwa nazo Mfalme Daudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yazizi Mhagri alikuwa msimamizi wa makundi ya kondoo na mbuzi. Hawa wote ndio waliokuwa maafisa wasimamizi wa mali alizokuwa nazo Mfalme Daudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na juu ya makundi ya kondoo alikuwa Yazizi, Mhagri. Hao wote walikuwa watumishi wa akiba alizokuwa nazo mfalme Daudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao wote walikuwa watunzaji wa mali ya mfalme Daudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msimamizi wa mbuzi na kondoo alikuwa Mhagri Yazizi. Hawa wote walikuwa watunza mali za mfalme Dawidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na juu ya makundi ya kondoo alikuwa Yazizi, Mhagri. Hao wote walikuwa maakida wa akiba alizokuwa nazo mfalme Daudi.