1 Chronicles 27:32 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yonathani, mjomba wa mfalme Daudi, alikuwa mshauri na mtu mwenye ufahamu na mwandishi. Yeye na Yehieli mwana wa Hakmoni waliwafunza wana wa mfalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yonathani mjomba wa Daudi alikuwa mshauri, mtu mwenye ufahamu mkubwa na mwandishi. Yehieli mwana wa Hakmoni alikuwa akiwahudumia wana wa mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Yonathani, mjombawe Daudi, alikuwa mshauri, na mtu wa akili, na mwandishi; Yehieli mwana wa Hakmoni alikuwa pamoja na wana wa mfalme;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yonathani, mjomba wa mfalme Daudi, alikuwa mshauri na mtu mwenye ufahamu na mwandishi. Yeye na Yehieli mwana wa Hakmoni waliwafunza wana wa mfalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yonathani, mjomba wa Daudi, alikuwa mshauri, mtu mwenye ufahamu mkubwa na mwandishi. Yehieli mwana wa Hakmoni alikuwa akiwahudumia wana wa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yonathani mjomba wa Daudi alikuwa mshauri, mtu mwenye ufahamu mkubwa na mwandishi. Yehieli mwana wa Hakmoni alikuwa akiwahudumia wana wa mfalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Yonathani, mjombawe Daudi, alikuwa mshauri, na mtu wa akili, na mwandishi; Yehieli mwana wa Hakmoni alikuwa pamoja na wana wa mfalme;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yonathani, mjomba wa mfalme Daudi, alikuwa mshauri na mtu mwenye ufahamu na mwandishi. Yeye na Yehieli mwana wa Hakmoni waliwafunza wana wa mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yonatani, mjomba wake Dawidi, alikuwa mwenye kula njama na mfalme, naye alikuwa mwenye utambuzi na mjuzi wa vitabu. Naye Yehieli, mwana wa Hakemoni, alikuwa mkuza wana wa mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)