1 Chronicles 27:33 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ahithofeli, alikuwa mshauri wake mfalme; Hushai Mwarki, alikuwa rafiki yake mfalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ahithofeli alikuwa mshauri wa mfalme. Hushai Mwarki alikuwa rafiki wa mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Ahithofeli alikuwa mshauri wake mfalme; na Hushai, Mwarki, alikuwa rafiki yake mfalme;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ahithofeli, alikuwa mshauri wake mfalme; Hushai Mwarki, alikuwa rafiki yake mfalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ahithofeli alikuwa mshauri wa mfalme. Hushai, Mwarki, alikuwa rafiki wa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ahithofeli alikuwa mshauri wa mfalme. Hushai Mwariki alikuwa rafiki wa mfalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Ahithofeli alikuwa mshauri wake mfalme; na Hushai, Mwarki, alikuwa rafiki yake mfalme;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ahithofeli, alikuwa mshauri wake mfalme; Hushai Mwarki, alikuwa rafiki yake mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Ahitofeli alikuwa mwenye kula njama na mfalme, naye Mwarki Husai alikuwa rafiki yake mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Ahithofeli alikuwa mshauri wake mfalme; na Hushai, Mwarki, alikuwa rafiki yake mfalme;