1 Chronicles 27:4 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Dodai alikuwa kiongozi wa kundi la pili katika mwezi wa pili. Kikosi chake kikiwa na wanajeshi 24,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msimamizi wa kikosi kwa mwezi wa pili alikuwa Dodai Mwahohi. Miklothi ndiye alikuwa kiongozi wa kikosi chake. Kikosi chake kilikuwa na watu elfu ishirini na nne.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na juu ya zamu ya mwezi wa pili alikuwa Dodai, Mwahohi, na zamu yake; na Miklothi alikuwa amiri; na katika zamu yake walikuwa watu ishirini na nne elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Dodai alikuwa kiongozi wa kundi la pili katika mwezi wa pili. Kikosi chake kikiwa na wanajeshi 24,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msimamizi wa kikosi kwa mwezi wa pili alikuwa Dodai, Mhohi. Miklothi ndiye aliyekuwa kiongozi wa kikosi chake. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msimamizi wa kikosi kwa mwezi wa pili alikuwa Dodai Mwahohi. Miklothi ndiye alikuwa kiongozi wa kikosi chake. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na juu ya zamu ya mwezi wa pili alikuwa Dodai, Mwahohi, na zamu yake; na Miklothi alikuwa afisa mkuu; na katika zamu yake walikuwa watu elfu ishirini na nne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Dodai alikuwa kiongozi wa kundi la pili katika mwezi wa pili. Kikosi chake kikiwa na wanajeshi 24,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mkuu wa fungu la mwezi wa pili alikuwa Mwahohi Dodai, naye mkubwa wa fungu lake alikuwa Mikloti; hata fungu lake lilikuwa lenye watu 24000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na juu ya zamu ya mwezi wa pili alikuwa Dodai, Mwahohi, na zamu yake; na Miklothi alikuwa amiri; na katika zamu yake walikuwa watu ishirini na nne elfu.