1 Chronicles 27:6 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huyu ndiye Benaya aliyekuwa mtu shujaa katika kundi la watu 30, na kiongozi wa kundi hilo. Naye Amizabadi mwanawe, alikuwa kamanda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huyu ndiye yule Benaya aliyekuwa shujaa miongoni mwa wale Thelathini, na ndiye alikuwa juu ya wale Thelathini. Mwanawe Amizabadi ndiye alikuwa mkuu katika kikosi chake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyo Benaya ndiye yule aliyekuwa shujaa wa wale thelathini, na juu ya wale thelathini; na katika zamu yake alikuwa Amizabadi mwanawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huyu ndiye Benaya aliyekuwa mtu shujaa katika kundi la watu 30, na kiongozi wa kundi hilo. Naye Amizabadi mwanawe, alikuwa kamanda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huyu ndiye yule Benaya aliyekuwa shujaa miongoni mwa wale Thelathini na ndiye aliyekuwa juu yao hao Thelathini. Mwanawe, Amizabadi, ndiye aliyekuwa mkuu katika kikosi chake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huyu ndiye yule Benaya aliyekuwa shujaa miongoni mwa wale Thelathini na ndiye alikuwa juu yao hao Thelathini. Mwanawe Amizabadi ndiye alikuwa mkuu katika kikosi chake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huyo Benaya ndiye yule aliyekuwa shujaa wa wale thelathini, na juu ya wale thelathini; na katika zamu yake alikuwa Amizabadi mwanawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huyu ndiye Benaya aliyekuwa mtu shujaa katika kundi la watu 30, na kiongozi wa kundi hilo. Naye Amizabadi mwanawe, alikuwa kamanda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huyu Benaya alikuwa fundi wa vita kwao wale thelathini, naye alikuwa mkuu wao wale thelathini. Aliyeliongoza fungu lake alikuwa mwanawe Amizabadi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyo Benaya ndiye yule aliyekuwa shujaa wa wale thelathini, na juu ya wale thelathini; na katika zamu yake alikuwa Amizabadi mwanawe.